• HABARI MPYA

  Friday, January 12, 2024

  MSUVA NA SAMATTA WANAVYOJIPANGA KUIPIGANIA TAIFA STARS AFCON


  NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva (kushoto) na Nahodha, Mbwana Samatta wakifanya mazoezi ya viungo Gym Jijini San Pedro nchini Ivory Coast kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi F Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Morocco Januari 17.
  Wapinzani wengine wa Taifa Stars Kundi F ni Zambia watakaocheza nao Januari 21 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) watakaomenyana nao Januari 24.
  PICHA: TAIFA STARS WAKIJIFUA GYM IVORY COAST KUJIANDAA KUIVAA MOROCCO AFCON 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA NA SAMATTA WANAVYOJIPANGA KUIPIGANIA TAIFA STARS AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top