• HABARI MPYA

  Monday, January 01, 2024

  SIMBA SC YASAJILI KIUNGO FUNDI KUTOKA JKU YA ZANZÍBAR


  KLABU ya Simba, imemtambulisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Saleh Karabaka kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka JKU ya kwao, Zanzibar.
  Saleh Karabaka anakuwa mchezaji mpya wa kwanza Simba SC dirisha hili dogo la usajili na wa kwa ujumla wa kwanza kusajiliwa chini ya kocha Mualgeria, Abdelhak Benchika.
  Mchezaji huyo ametambulishwa muda mfupi kabla ya timu hiyo kucheza JKU katika mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi leo Saa 2:15 usiku Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YASAJILI KIUNGO FUNDI KUTOKA JKU YA ZANZÍBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top