• HABARI MPYA

  Saturday, January 13, 2024

  AZAM FC YASAJILI BEKI WA KATI MCOLOMBIA


  KLABU ya Azam FC imemtambulisha beki wa kati, Yeison Fuentes (21) ambaye imemsajili kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Leones FC ya kwao, Colombia.
  Huyo anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa kutoka Colombia, baada ya mshambuliaji Franklin Navarro (24) iliyemsajili kutoka Cortuluá FC ya Daraja la Pili nchini kwao, Colombia.
  PICHA: UTAMBULISHO WA YEISON FUENTES AZAM FC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YASAJILI BEKI WA KATI MCOLOMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top