• HABARI MPYA

  Sunday, January 07, 2024

  MLANDEGE YATINGA NUSU FAINALI KWA MATUTA KOMBE LA MAPINDUZI


  MABINGWA watetezi, Mlandege SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa penalti 3-2 kufuatia sare ya bila mabao na KVZ leo Uwanja wa  New Amaan Complex, Zanzíbar.
  Sasa Mlandege watasubiri kukutana na mshindi wa Robo Fainali ya pili baina ya Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga na mabingwa wa Rwanda, APR zinazomenyana leo usiku hapo hapo New Amaan Complex.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MLANDEGE YATINGA NUSU FAINALI KWA MATUTA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top