• HABARI MPYA

  Monday, January 08, 2024

  SIMBA SC YAMSAJILI KINDA WA MTIBWA LADAKI CHASAMBI


  KLABU ya Simba SC imemtambulisha rasmi kiungo Ladaki Juma Chasambi (19) kama mchezaji wake mpya kutoka klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro.
  Huyo anakuwa mchezaji mpya watatu kwa Wekundu hao wa Msimbazi dirisha hili dogo baada ya mshambuliaji mzawa, Saleh Kikuya na kiungo Msenegal, Babacar Sarr.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAMSAJILI KINDA WA MTIBWA LADAKI CHASAMBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top