• HABARI MPYA

  Saturday, January 13, 2024

  MLANDEGE MABINGWA TENA KOMBE LA MAPINDUZI, MNYAMA CHALI ZENJI


  WENYEJI, Mlandege SC imefanikiwa kutetea ubingwa wa Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba ya Dar es Salaam usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji mpya, Joseph Akandwanaho kutoka Mbarara City ya kwao, Uganda aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 54.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MLANDEGE MABINGWA TENA KOMBE LA MAPINDUZI, MNYAMA CHALI ZENJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top