• HABARI MPYA

  Saturday, January 13, 2024

  TABORA UNITED YAFUTIWA ADHABU YA KUTOSAJILI BAADA Y KUWALIPA WACHEZAJI


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifutia adhabu ya kutosajili klabu ya Tabora United baada ya kuwalipa wachezaji wake waliofungua kesi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TABORA UNITED YAFUTIWA ADHABU YA KUTOSAJILI BAADA Y KUWALIPA WACHEZAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top