• HABARI MPYA

  Monday, January 15, 2024

  KONKONI AJIUNGA NA TIMU YA CYPRUS KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU


  KLABU ya Yanga imemtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Mghana, Hafiz Konkoni kwenda Dogan Tûrk Birligi ya Cyprus hadi mwisho wa msimu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KONKONI AJIUNGA NA TIMU YA CYPRUS KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top