• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2023

  NEWCASTLE UNITED YAIBAMIZA MAN U 2-0 ST JAMES


  MABAO ya Joe Willock dakika ya 65 na Callum Wilson dakika ya 88 yameipa Newcastle United ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. James' Park, Newcastle upon Tyne.
  Kwa ushindi huo, Newcastle United inafikisha pointi 50 na kupanda nafasi ya tatu ikiizidi wastani wa mabao tu Manchester United inayohamia ‘Mtaa wa Nne’ baada ya wote kucheza mechi 27.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEWCASTLE UNITED YAIBAMIZA MAN U 2-0 ST JAMES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top