• HABARI MPYA

  Wednesday, October 05, 2022

  LIVERPOOL YAICHAPA RANGERS 2-0 LIGI YA MABINGWA


  WENYEJI, Liverpool jana wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rangers katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya saba na Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 53 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi sita na kusogea nafasi ya pili wakizidiwa pointi tatu na Napoli baada ya wote kucheza mechi tatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA RANGERS 2-0 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top