• HABARI MPYA

  Wednesday, October 05, 2022

  INTER MILÁN YAICHAPA BARCELONA 1-0 ITALIA


  BAO pekee la Hakan Calhanoglu dakika ya 45 na ushei limeipa Inter Milán ushindi wa 1-0 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa Kundi    C usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan.
  Kwa matokeo hayo, Inter Milan wanafikisha pointi sita na kusogea nafasi ya pili, wakizidiwa pointi tatu na Bayern Munich, wakati Barcelona inabaki na pointi zake tatu nafasi ya tatu baada ya wote kucheza mechi tatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INTER MILÁN YAICHAPA BARCELONA 1-0 ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top