• HABARI MPYA

  Thursday, July 01, 2021

  SPURS YAMTHIBITISHA NUNO ESPIRITO SANTO KOCHA WAKE MPYA

  TIMU ya Tottenham Hotspur imethibitisha kumchukua kocha wa Wolverhampton Wanderers, Nuno Espirito Santo kuwa kocha wapo mpya.
  Nuno aliondoka Wolves  mwishoni mwa msimu uliopita baada ya misimu minne, akiwatoa Championship hadi katikati ya msimamo wa Ligi Kuuto the top half of the Premier League.
  Tottenham ilimtema Mreno, Jose Mourinho mwezi April na tangu hapo Ryan Mason akawa kocha wa muda.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAMTHIBITISHA NUNO ESPIRITO SANTO KOCHA WAKE MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top