• HABARI MPYA

  Thursday, July 01, 2021

  MAN UNITED KUMSAJILI SANCHO KWA PAUNI MILIONI 85 UTOKA DORTMUND

  KLABU ya Manchester United imeripotiwa kufikia makubaliano ya kumsajili winga wa kimataifa wa England, Jadon Sancho kutoka Borussia Dortmund kwa dau la Pauni Milioni 85.
  Sancho ambaye yupo kwenye kikosi cha England kinachoshiriki Euro 2020, atafanya makubaliano ya maslahi binafasi na vipimo vya afya ili kukamilisha dili hilo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED KUMSAJILI SANCHO KWA PAUNI MILIONI 85 UTOKA DORTMUND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top