• HABARI MPYA

  Thursday, July 01, 2021

  SANCHEZ AIONGEZEA NGUVU CHILE KUELEKEA MECHI NA BRAZIL

  MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez amejiunga na kikosi cha Chile kwenye uwanja wao wa mazoezi huko Santiago bada ya kupona maumivu ta misuli.
  Sanchez anayechezea Inter Milan ya Italia anatarajiwa kusafiri na timu kwenda Rio de Janeiro kwa ajili ya mchezo wa Robo Fainali ya Copa America dhidi ya wenyeji, Brazil kesho.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ AIONGEZEA NGUVU CHILE KUELEKEA MECHI NA BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top