• HABARI MPYA

  Thursday, July 01, 2021

  CHRIS PAUL AIPELEKA PHOENIX SUNS FAINALI NBA BAADA YA MIAKA 28

  NYOTA Chris Paul amefunga pointi 41 kuiwezesha Phoenix Suns kutinga fainali ya NBA baada ya miaka 28 kufuatia kuichapa Los Angeles Clippers 130-103 katika fainali ya mwisho ya Western Conference.
  Sasa watakutana na mshindi kati ya Atlanta Hawks na Milwaukee Bucks, ambao hadi sasa wamefungana 2-2 kwenye fainali za East kuelekea Game 5 usiku wa kuamkia kesho huko Milwaukee. 
  Bahati mbaya kwao Bucks watamkosa MVP mara mbili Giannis Antetokounmpo aliyeumia goti la kushoto jana.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHRIS PAUL AIPELEKA PHOENIX SUNS FAINALI NBA BAADA YA MIAKA 28 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top