REFA Emmanuel Mwandemba wa Arusha ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Saa 11:00 jioni.
Atasaidiwa na Frank Komba wa Dar es Salaam na Hamdani Said wa Mtwara, wakati mezani atakuwapo Ramadhani Kayoko na Kamisaa ni Hosea Lugano wa Lindi.

0 comments:
Post a Comment