• HABARI MPYA

  Thursday, July 01, 2021

  KOCHA SHIME AITA 27 TWIGA STARS BILA WACHEZAJI WA SIMBA QUEENS KUJIANDAA NA MECHI ZA KUFUZU AFCON

  KOCHA Bakari Shime ametaja kikosi cha wachezaji 37 cha Twiga Stars kitakachoingia kambini Jumamosi kujiandaa na mechi za kufuzu AFCON – lakini hakuna mchezaji hata mmoja wa mabingwa wa nchi, Simba Queens kwa sababu wanakabiliwa na Ligi ya Mabingwa.  


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA SHIME AITA 27 TWIGA STARS BILA WACHEZAJI WA SIMBA QUEENS KUJIANDAA NA MECHI ZA KUFUZU AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top