• HABARI MPYA

  Saturday, January 02, 2021

  MAN UNITED WAIPIGA ASTON VILLA 2-1 NA KUWAKAMATA LIVERPOOL


  Manchester United imewafikia kwa pointi mabingwa watetezi, Liverpool baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Old Trafford.
  Mabao ya Manchester United yamefungwa na Anthony Martial dakika ya 40 na Bruno Fernandes kwa penalti  dakika ya 61 wakati la Aston Villa lilifungwa na Bertrand Traore dakika ya 58 
  Manchester United inafikisha pointi 33 sawa na Liverpool, baada ya timu zote kucheza mechi 16, ingawa mabingwa watetezi wanabaki juu kwa wastani wao mzuri wa mabao
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAIPIGA ASTON VILLA 2-1 NA KUWAKAMATA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top