• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 02, 2021

  RAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI TAMASHA LA MAZOEZI YA VIUNGO ZANZIBAR

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah na Mkewe Mama  Sharifa Omar Khalfan  (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.

  Ilikuwa ni katika Tamasha la matembezi ya mazoezi ya Viungo Zanzibar, yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI TAMASHA LA MAZOEZI YA VIUNGO ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top