Kinda Mspaniola, Brahim Diaz akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao yote dakika za 18 na 65 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England hatua ya 16 Bora usiku wa jana Uwanja wa Etihad na sasa kikosi cha Pep Guardiola kitakutana na mshindi kati ya Leicester City na Southampton katika Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment