Winga Mbrazil, Malcom Filipe Silva de Oliveira maarufu tu kama Malcom, akifumua shuti ndani ya eneo la penalti kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Boca Juniors kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou huo mchezo wake wa kwanza baada ya kusajiliwa kutoka Bordeaux. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Leonel Messi dakika ya 39 na Rafael Alcantara do Nascimento 'Rafinha' dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
8 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment