Wachezaji wa Yanga, mshambuliaji Oscar Nkomola mbele na Pius Buswita nyuma wakiwaongoza wenzao wakati wa mazoezi leo jioni Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali, Rwanda kujiandaa na mchezo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho kesho dhidi ya wenyeji, Rayon Sport
Kiungo mshambuliaji Yussuf Mhilu akiwa mbele ya Raphael Daudi mazoezini
Beki Pato Ngonyani akiwa mbele ya wachezaji wenzake mazoezini leo
Hapa ni wakati inawasili mjini Kigali mapema leo baada ya kuondoka Alfajiri Dar es Salaam
NBA Rumors: Mavs' Jason Kidd 'Hopeful' for Contract Extension in 2024
Offseason
-
Jason Kidd is looking to remain the head coach of the Dallas Mavericks for
the foreseeable future. Kidd, who is under contract through the 2024-25
season, is…
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment