• HABARI MPYA

        Friday, August 24, 2018

        KUNA NINI HAPA HUYU KOCHA MTUNISIA WA SIMBA NA ADAM SALAMBA

        Kocha wa mazeozi ya viungo wa Simba SC, Mtunisia Adel Zrane (kulia) akimuelekeza mshambuliaji Adam Salamba wakati akimuandaa kuingia uwanjani Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam   
        Adel Zrane akimuelekeza kwa vitendo Adam Salamba 
        Hapa Adel Zrane anamuongoza Salamba kufanya mazoezi ya kujiweka fiti
         Na pamoja na kuingia dakika 10 za mwisho, lakini Adam Salamba aliwahenyesha mabeki wa Tanzania Prisons  
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KUNA NINI HAPA HUYU KOCHA MTUNISIA WA SIMBA NA ADAM SALAMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry