EDGAR FONGO, SURE BOY, CHINA NA SIKINDE MBUNGA YANGA TAYARI KUIVAA SIMBA 1987
Wachezaji wa Yanga kutoka kulia Edgar Fongo, Abubakar Salum ‘Sure Boy’, Athumani China na Celestine Sikinde Mbunga wakiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam kabla ya mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wa jadi, Simba SC mwaka 1987
0 comments:
Post a Comment