• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 31, 2018

  WACHEZAJI WA YANGA WARIPOTI KAMBINI TAIFA STARS

  Wachezaji wa Yanga wakipata chakula cha usiku katika kambi ya timu ya taifa, Taifa Stars, hoteli ya Sea Scape baada ya kuripoti leo muda mfupi tu kufuatia kurejea nchini wakitokea Rwanda ambako timu yao ilikwenda kumenyana na Rayon Sport na kufungwa 1-0 Jumatano 
  Wachezaji wengine wa Stars wakiongozwa na kipa wa Simba SC, Aishi Manula wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Boko Veterani  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WACHEZAJI WA YANGA WARIPOTI KAMBINI TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top