• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 25, 2018

  MBAPPE, CAVANI, NEYMAR WOTE WAFUNGA PSG YASHINDA 3-1 UFARANSA

  Wachezaji wa Paris Saint-Germain, Edinson Cavani, Kyllian Mbappe na Neymar wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Angers SCO kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa leo Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Cavani alifunga la kwanza dakika ya 12, Mbappe la pili dakika ya 51 na Neymar la tatu dakika ya 66, wakati la Angers SCO limefungwa na Thomas Mangani dakika ya 21 kwa penalti 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBAPPE, CAVANI, NEYMAR WOTE WAFUNGA PSG YASHINDA 3-1 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top