• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 23, 2018

  SIMBA SC NA TANZANIA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Beki wa Simba SC, Shomari Kapombe akiwa juu kuwania mpira dhidi ya beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Simba SC ilishinda 1-0.
  Kiungo wa Simba SC, Hassan Dilunga (kulia) akkiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons  
  Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere akijaribu kumpita James Mwasote wa Tanzania Prisons                                                  
  Mshambuliaji wa Simba SC na Nahodha, John Bocco akiwatoka mabeki wa Tanzania Prisons  
  Mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Kelvin Friday akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Simba
  Kiungo wa Simba SC, Shiza Kichuya (kulia) akiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons 
  Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto)akiondoka na mpira  
  Kiungo wa Simba SC, Muzamil Yassin (katikati) akiuwahi mpira dhidi ya beki wa Prisons, Nurdin Chona 
  Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana 
  Kikosi cha Tanzania Prisons kabla ya mchezo wa jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA TANZANIA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top