• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 25, 2018

  ARSENAL YAANZA LIGI, YAIBAMIZA WEST HAM 3-1 EMIRATES

  Danny Welbeck akifumua shuti kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya mwisho katika ushindi wa 3-1 dhidi ya West Ham United Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Gunners yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya 30 na Issa Diop aliyejifunga dakika ya 70, wakati la WHU limefungwa na Marco Arnautovic dakika ya 25, huo ukiwa ushindi wa kwanza katika mechi ya tatu kwa kocha mpya, Mspaniola Unai Emery aliyemrithi kocha wa muda mrefu wa klabu, Mfaransa Arsene Wenger 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAANZA LIGI, YAIBAMIZA WEST HAM 3-1 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top