Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 25, 35 na 75 katika ushindi wa 6-1 wa Manchester City dhidi ya Huddersfield United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad leo. Mabao mengine ya City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 31, David Silva dakika ya 48 na Terence Kongolo aliyejifunga dakika ya 84, wakati la Huddersfield United yamefungwa na Jon Stankovic dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Robinsons run riot! Bijan and Brian put on historic display as Atlanta
Falcons ruin New Orleans' emotional party
-
It's been 25 years since the New Orleans Saints played their first Monday
Night Football game in the Superdome after the devastation of Hurricane
Katrina.
40 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment