• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 23, 2018

  MOURINHO AKIINGIA HOTELINI BAADA YA MAZOEZI MAN UNITED

  Kocha Jose Mourinho akitabasamu huku ameshikiwa mwavuli wakati anaingia katika hoteli ya Lowry Jumatano usiku baada ya mazoezi ya Manchester United kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham Uwanja wa Old Trafford Jumatatu ijayo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOURINHO AKIINGIA HOTELINI BAADA YA MAZOEZI MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top