• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 24, 2018

  ARSENAL WANAVYOJIFUA KUMALIZA UTEJA LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji Alexandre Lacazette akibinuka tik tak wakati wa mazoezi ya Arsenal Alhamisi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi dhidi ya West Ham United Uwanja wa Emirates, London wakitoka kupoteza mechi mbili za mwanzo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WANAVYOJIFUA KUMALIZA UTEJA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top