Mshambuliaji Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Tottenham Hotspur dakika ya 77 ikiilaza 3-1 Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley, London leo. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Lucas Moura dakika ya 43 na Kieran Trippier dakika ya 74, wakati la Fulham limefungwa na Aleksandar Mitrovic dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment