• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 25, 2018

  MAN CITY WAKAMATIKA WOLVERHAMPTON, WAAMBULIA SARE 1-1

  Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akisikitika baada ya kugongesha mwamba shuti lake akiwa jirani na lango la Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands timu hizo zikitoka sare ya 1-Willy Boly alianza kuwafungia wenyeji dakika ya 57 tu, kabla ya Aymeric Laporte kuisawazishia Man City dakika ya 69, kocha Pep Guardiola akipunguzwa kasi baada ya kushinda mechi mbili mfululizo za mwanzo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY WAKAMATIKA WOLVERHAMPTON, WAAMBULIA SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top