Kiungo Mnyarwanda wa klabu ya Simba, Haruna Niyonzima (katikati) akiwa na wachezaji wenzake wa klabu yake ya zamani, Yanga SC leo mjini Kigali, Rwanda. Wengine kulia ni Matheo Anthony na Deus Kaseke na kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, Omar Kaata na Ibrahim Ajib. Picha hii ilipigwa baada ya mechi kati ya Yanga na wenyeji, Rayon Sport Uwanja wa Nyamirambo, ambayo pia ni klabu nyingine ya zamani ya Niyonzima.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment