Washambuliaji wa Paris Sant Germain, Neymar (kulia) na Kylian Mbappe (kushoto) wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Guingamp kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Jumamosi Uwanja wa Stade du Roudourou mjini Guingamp. Neymar alifunga bao la kwanza kwa penalti dakika ya 53, baada ya Nolan Roux kutangulia kuifungia Guingamp dakika ya 20, kabla ya Mbappe kufunga mawili dakika za 82 na 90
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment