• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 27, 2018

  BENZEMA AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 4-1 LA LIGA

  Karim Benzema akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 52 kwa penalti na 80 akimalizia pasi ya Gareth Bale katika ushindi wa 4-1 wa Real Madrid jana dhidi ya Girona kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 39 na Bale dakika ya 59, wakati la Girona limefungwa na Borja García dakika ya 16 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top