• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 21, 2018

  COSTA NA BATSHUAYI WAKUTANA ATLETICO NA VALENCIA ZIKITOKA SARE

  Mshambuliaji anayecheza kwa mkopo Valencia kutoka Chelsea, Michy Batshuayi akiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa The Blues, Diego Costa ambaye sasa anachezea Atletico Madrid baadfa ya wawili hao kukutana kwenye baina ya timu zao za sasa iliyomalizika kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Mestalla. Atletico ilitangulia kwa bao la Angel Martin Correa dakika ya 26, kabla ya Rodrigo Moreno Machado kuwasawazishia wenyeji dakika ya 56 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COSTA NA BATSHUAYI WAKUTANA ATLETICO NA VALENCIA ZIKITOKA SARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top