• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 28, 2018

  AZAM FC NA NDANDA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Kiungo mshambuliaji Mzimbabwe wa Azam FC, Tafadzwa Kutinyu akimtoka beki wa Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-0 
  Beki wa Ndanda FC akimvuta mshambuliaji wa Azam FC, Danny Lyanga kumpunguza kasi
  Beki wa Azam FC, Abdallah Kheri akipambana katikati ya wachezaji wa Ndanda 
  Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akipiga shuti wakati amebanwa na wachezaji wa Ndanda FC
  Kiungo wa Azam FC, Joseph Mahundi akimtoka beki wa Ndanda 
  Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka beki wa Ndanda FC 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC NA NDANDA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top