• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 30, 2018

  YANGA SC NA RAYON SPORT KATIKA PICHA JANA NYAMIRAMBO

  Beki na Nahodha wa Rayon Sport, Abdoul Rwatubyaye akiteleza miguuni mwa mshambuliaji Mkongo wa Yanga SC, Heritier Makambo kuondosha mpira jana Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigli katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika. Rayon ilishinda 1-0 PICHA KWA HISANI YA NEW TIMES
  Nyota wa Rayon Sport, Djabel Manishimwe akimtoka beki na Nahodha wa Yanga SC, Kelvin Yondan 
  Kiungo wa Rayon Sporys, Kevin Muhire akimtoka kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib
  Beki wa Yanga SC, Gardiel Michael akiondosha mpira miguuni mwa beki wa kulia wa Rayon Sport, Saddam Nyandwi 
  Mfungaji wa bao pekee la Rayon Sport jana, Mshambuliaji Mrundi Caleb Bimenyimana akifurahia kuipeleka timu yake Robo Fainali
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA RAYON SPORT KATIKA PICHA JANA NYAMIRAMBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top