• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 25, 2018

  'KING' SALAH AFIKISHA MABAO 29 MECHI 29 ANFIELD LIVERPOOL IKISHNDA 1-0

  Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Liverpool dakika ya 23 akimalizia pasi ya Roberto Firmino ikiilaza 1-0 Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Hilo linakuwa bao la 29 katika mechi 29 alizocheza Anfield 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'KING' SALAH AFIKISHA MABAO 29 MECHI 29 ANFIELD LIVERPOOL IKISHNDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top