Mshambuliaji mpya wa Juventus, Cristiano Ronaldo akipasua katikati ya wachezaji wa Chievo leo katika mchezo wa Serie A Italia Uwanja wa Marc'Antonio Bentegodi mjini Verona. Juve imeshinda 3-2, mabao ya Sami Khedira dakika ya tatu, Mattia Bani aliyejifunga dakika ya 75 na Federico Bernardeschi dakika ya 90 na ushei, wakati ya Chievo yamefungwa na Mariusz Stepinski dakika ya 38 na Emanuele Giaccherini kwa penalti dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment