Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere akimtoka beki wa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-0
Nahodha wa Simba SC, John Bocco (kushoto) akimtoka beki wa Mbeya City
Kiungo wa Simba SC, Hassan Dilunga akimchenga mchezaji wa Mbeya City
Kikosi cha Mbeya City katika mchezo wa jana
Kikosi cha Simba SC katika mchezo wa jana
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago


.png)
0 comments:
Post a Comment