• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 24, 2018

  MASHABIKI YANGA KWA RAHA ZAO USHINDI DHIDI YA MTIBWA

  Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia jana wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, timu yao ikishinda mabao 2-1 
  Beki wa zamani wa Yanga, Bakari Malima 'Jembe Ulaya' (kulia) alikuwa sehemu ya mashabiki waliohudhuria mchezo wa jana 
  Shabiki aliyevaa kinyago naye akifurahia kwa namna yake  
  Mashabiki wengine nao kwa namna yao wakifurahia mwanzo wa ushindi katika Ligi Kuu
  Na hawa nao walikuwa wanafurahia namna hii 
  Na hawa nao walikuwa wanafurahia kwa bango la kuweabeza wapinzani wao wa jadi, Simba SC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MASHABIKI YANGA KWA RAHA ZAO USHINDI DHIDI YA MTIBWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top