Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji akipunga mkono kusabahi mashabiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam jioni ya leo baada ya kuwasili kwa ajili ya kuushuhudia mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria unaotarajiwa kuanza Saa 1:00 usiku
Kabla ya kupanda jukwaani, Manji aliingia vyumbani kuzungumza na wachezaji |
Mashabiki wa Yanga wakifurahia baada ya kumuona tena Mwenyekiti wao, Manji aliyejiuzulu Mei mwaka jana |
0 comments:
Post a Comment