• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 27, 2018

  SAMATTA MCHEZAJI BORA GENK AMKABIDHI JEZI SHABIKI BORA WA MECHI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akimkabidhi jezi yake shabiki bora wa mechi ya jana, baada ya kutokea benchi na kuifungia timu yake, KRC Genk ikiibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Waasland Beveren katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji Uwanja wa Luminus Arena na kuchaguliwa Mchezaji Bora wa mchezo huo.
  Katika mechi ya Genk huwa kuwa uteuzi wa Mchezaji Bora na Shabiki Bora wa Mechi 
  Na Mbwana Samatta alifunga bao zuri jana akitokea benchi Genk ikiendeleza wimbi la ushindi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA MCHEZAJI BORA GENK AMKABIDHI JEZI SHABIKI BORA WA MECHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top