• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 24, 2018

  YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Beki wa Yanga SC, Andrew Vincent 'Dante' akiruka juu kuondoa mpira kweye himaya ya mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Kelvin Sabato katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana usiku Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam 
  Mshambuliaji wa Yanga, Eretier Makambo (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Mtibwa Sugar, Hassan Isihaka
  Kiungo wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka kiungo wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma 
  Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimruka beki wa Mtibwa Sugar, Ally Shomari
  Kiungo wa Yanga SC, Feisal Salum (kulia) akiudhibiti mpira dhidi ya kiungo wa Mtibwa Sugar, Ismail Muhesa 
  Beki wa Mtibwa Sugar, Hassan Isihaka akiondoa mpira kwenye hatari dhidi ya Eretier Makambo wa Yanga
  Kiungo wa Yanga SC, Ibrahim Ajib (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita kiungo wa Mtibwa Sugar, Ismail Muhesa 
  Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Kelvin Sabato akimiliki mpira mbele ya beki na Nahodha wa Yanga SC, Kelvin Yondan  
  Kikosi cha Yanga SC kilichoanza jana dhidi ya Mtibwa Sugar 
  Kikosi cha Mtibwa Sugar kilichoanza jana dhidi ya Yanga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top