• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 25, 2018

  RONALDO ATOA PASI YA BAO LA PILI JUVENTUS YASHINDA 2-0

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia na wachezaji wenzake wa Juventus baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Lazio kwenye mchezo wa Serie A leo Uwanja wa Allianz  mjini Torino, mabao ya Miralem Pjanic dakika ya 30 na Mario Mandzukic dakika ya 75. Ronaldo ndiye aliyetoa pasi ya bao la pili, ingawa amefikisha mechi mbili tangu awasili Juventus bila kufunga bao 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO ATOA PASI YA BAO LA PILI JUVENTUS YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top