Wachezaji wa Olympique Marseille wakishangilia ushindi wao wa 9-0 jana dhidi ya Bourg-en-Bresse kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ufaransa Uwanja wa Marcel-Verchere mjini Bourg-en-Bresse, mabao ya 10' Luiz Gustavo dakika ya 10, Dimitri Payet dakika ya 13 kwa penalti, Lucas Ariel Ocampos dakika ya 16, 48 na 71, Konstantinos Mitroglou dakika ya 20, 40 na 81 na Clinton Mua N'Jie kwa penalti dakika ya 89.
Tennis expert reveals what Iga Swiatek is REALLY like behind the scenes
after World No 2 enraged fans by smashing ball at a ball kid in shocking
moment
-
The Pole came under fire after she smashed a ball at a ball kid following
her devastating loss to Russian teenager Mirra Andreeva 7-6 1-6 6-3 to
reach the ...
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment