Mkongwe Arjen Robben akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 86 na 88 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Paderborn kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ujerumani jana Uwanja wa Benteler-Arena mjini Paderborn. Mabao mengine ya timu ya kocha Jupp Heyckes yalifungwa na Kingsley Coman dakika ya 19, Robert Lewandowski dakika ya 25, Joshua Kimmich dakika ya 42 na Corentin Tolisso dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment