Mshambuliaji Muargentina, Sergio Aguero akifurahia na wenzake Bernardo Silva na Brahim Diaz baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu dakika ya 89 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya West Bromwich Albion usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad, Mabao mengine ya City yamefungwa na Fernandinho dakika ya 19 na Kevin De Bruyne dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment